Wednesday, August 22, 2018

Mfahamu mwanamichezo wakike mwenye mkwanja mrefu zaidi duniani 

Bingwa mara 23 wa Grand Slam, Serena Williams ametajwa na Forbes kuwa ndiye mwanamichezo wa kike anaye miliki mkwanja mrefu zaidi duniani. Williams alilipwa dola 62,000 mwaka uliopita baada ya kuwa nje kwa miezi 14 kujifungua lakini alijizolea dola milioni 18 kutoka kwa matangazo ya biashara. Moja kati ya nyumba za Serena Williams Katika horodha …

The post Mfahamu mwanamichezo wakike mwenye mkwanja mrefu zaidi duniani  appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...