Wednesday, August 8, 2018

Mastaa Wamtakia Hri ya Siku ya Kuzaliwa Mtoto Wa Hamissa Mobeto.... Mama Dangote Agoma Kumuwish Mjukuu Wake

Wastaa Wamtakia Hri ya Siku ya Kuzaliwa Mtoto Wa Hamissa Mobeto.... Mama Dangote Agoma Kumuwish Mjukuu Wake
Leo ni siku ya matumziko ya kitaifa ya kusheherekea sherehe ya nane nane huku ikiwa katika familia ya Daimond na Hamisa Mobetto pia ni siku ya furaha ambapo leo anazaliwa mtoto wao mpenzi Daylani ambapo anatimiza mwaka mmoja.

Katika akaunt mbalimbali za wasanii zimepambwa na picha za mtoto huyo wakimsindikiza na ujumbe wa kumtakia heri kwa siku yake ya kuzaliwa ingawa hadi sasa bibi wa mtoto huyo ambaye ni mama mzazi wa Daimond ajapost chochote ishara ya kumtakia heri mjukuu wake.

 Hizi ndizo baadhiz za post za wasanii













Alichokipost Esma Platinam





Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...