Saturday, August 18, 2018

Lulu amebadilika sana, amekuwa mtu wa kumtukuza Mungu – Ray C

Muimbaji Ray C, amemzimikia mwigizaji wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael 'Lulu' kwa jinsi alivyoamua kushika dini zaidi kwa sasa. Ray C amesema Lulu amemfanya akumbuke kipindi cha nyuma wakati alipopitia kwenye matatizo ya kuugua, kwani kipindi hicho alikuwa ni mcha Mungu na alikuwa hakosi kanisani tofauti na sasa. "Aisee, nimemfuatilia sana Lulu tangu ameanza kupata …

The post Lulu amebadilika sana, amekuwa mtu wa kumtukuza Mungu – Ray C appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...