Thursday, August 2, 2018

Hospitali na vituo vya afya nchini vyapigwa marufuku kupiga muziki

Hospitali zote nchini pamoja na vituo vyote vya kutolea huduma za Afya zimepigwa marufuku kuonesha miziki katika maeneo yakutolea huduma na badala yake kutakiwa kuweka jumbe zinazohusu Elimu ya Afya kwa umma pindi wanapongoja kupata huduma. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Faustine Ndugulile hapo jana wakati akiwa katika ziara …

The post Hospitali na vituo vya afya nchini vyapigwa marufuku kupiga muziki appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...