Hali ya msanii mchekeshaji maarufu na mkongwe tanzania mzee majuto imeripotiwa kurudi kuwa mbaya hivyo kufanya kurudishwa tena hospitali ya muhimbili siku ya leo. Mkurugenzi wa mawasiliano katika hospitali ya muhimbili aminiel aligaesha , ndie aliethibitisha taarifa za kupokelwa kwa mzee majuto aktika hospitali. Hii inakuwa ni mara ya tatu kwa mzee majuto kwenda hospitali lakini mara ya pili kurudishwa akiwa na hali mbaya kutokana na operation aliyofanyiwa iliyosababisha kupelekwa india kwa ajilia ya matibabu zaidi.
The post Hali ya Mzee Majuto si Shwari, Arudishwa Tena Muhimbili appeared first on Ghafla!Tanzania.
Source