Saturday, August 4, 2018

BASATA wafunguka ishu ya kumtaka Diamond alipie kibali cha kuhudhuria birthday ya Tiffah SA

Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limekanusha taarifa zilizosambaa mtandaoni kwamba wamemtaka Diamond kwenda kulipia kibali cha kusafiri kwenda Afrika Kusini kwenye birthday ya mtoto wake Tiffah. Diamond akiwa na mtoto wake Tiffah. Hatua hiyo imekuja baada ya wiki moja iliyopita baraza hilo kutangaza sheria mpya zinazowakata wasanii kuomba vibali wanapotaka kwenda nje ya nchi kwaajili …

The post BASATA wafunguka ishu ya kumtaka Diamond alipie kibali cha kuhudhuria birthday ya Tiffah SA appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...