Tuesday, August 14, 2018

Dereva wa mbunge Bobi Wine auawa kwa kupigwa risasi Uganda

Mbunge nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu kama Boni Wine anadai kuwa dereva wake ameuawa kwa kupigwa risasi na polisi akiwa ndani ya gari la mbunge huyo. Mbunge huyo wa Kyadondo aliandika kwenye mtandao wa Twitter kuwa walikuwa eneo linalojulikana kama Arua kwenye kampeni wakati mauaji hayo yalitokea. Uchaguzi mdogo unatarajiwa kuandaliwa eneo hilo siku ya […]
Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...