Sunday, August 12, 2018

Chelsea yaweka rekodi nyingine kubwa EPL baada ya ushindi wa goli 3-0 dhidi ya Huddersfield Town

Klabu ya Chelsea imefungua Ligi Kuu England (EPL) kwa kishindo baada ya kuichapa goli 3-0 klabu ya Huddersfield Town ugenini. Ushindi ambao umewafanya Chelsea waweke rekodi usiku wa jana. Kwa ushindi huo, Chelsea inakuwa klabu ya tatu katika historia ya EPL kufikisha alama (points) 800 kwenye michezo ya ugenini pekee. Rekodi hiyo ya klabu zilizovuna alama …

The post Chelsea yaweka rekodi nyingine kubwa EPL baada ya ushindi wa goli 3-0 dhidi ya Huddersfield Town appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...