Monday, August 13, 2018

CCM yaibuka kidedea Buyungu, mgombea wa CHADEMA anyoosha mikono juu ‘sipo tayari kupambana’

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanikiwa kuchukua jimbo la Buyungu kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge kwa ushindi mnono dhidi ya vyama vya upinzani. CCM kupitia kwa mgombea wake wa Ubunge, Chiza C. Kajoro amepata ushindi kwa kura 24,578 huku Elia F. Michael wa CHADEMA akipata kura 16,910. Kwa upande wake Mgombea wa CHADEMA, Elia Michael amesema …

The post CCM yaibuka kidedea Buyungu, mgombea wa CHADEMA anyoosha mikono juu ‘sipo tayari kupambana’ appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...