Jamani imenibidi tu nisema huyu jamaa kwenye picha ndio roho yangu kwa sasa nampenda kufa hata akiniambia tuoane leo mimi nipo tayari ...
Jamani tulikutana nae kama mwaka umepita akani approach mimi nikawa namringia kwa vile sikumpenda hata kidogo pia marafiki zangu walikuwa wanasema si size yangu eti hatuendani ni mshamba basi na mimi nikamchukulia for granted nikawa na mzungusha, basi siku ya mwaka mpya akanipa offer twende tukaspend bagamoyo for two days sasa huku nilipewa penzi la nguvu ambalo sijawahi pewa na mwanaume hapa dar yaani mpaka niliwasahau masharobaro wangu wote waliokuwa wananigusa gusa na kunichafua tu
Jamaaa anajua kunigusa napopataka kwa kifupi anajua si unaona kwenye picha hapo hiyo ni trailler tu....Nampenda sana wale marafiki zangu waliokuwa wanamponda sasa nawaambia hivi hapo ndio nimefika nimeoza hawajui ninachopewa ambacho ni adimu kwa wanaume wengi hasa hawa wanaume mabishoo wa Dar....Nimeziba masikio hata akisema leo tuoana hata bila sherehe namkubali...I love u Charles
-
Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga Daktari Daniel Henry Na Isaac Masengwa ******************* Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga...
-
Rais Uhuru Kenyatta na viongozi wengine nchini Kenya wametuma salamu zao za rambi rambi kwa familia ya marehemu Yusuf Haji. Rais Uhuru Kenya...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...
-
Kulia ni Mkurugenzi wa Stedom House of Beauty Bi. Stella Mhondo akigonga Cheers na wadau wa masuala ya Urembo na Vipodozi waliohudhuria uzin...
-
MWANA-mfalme wa Uingereza,. Prince Charles, ambaye ni mtoto wa kwanza wa Malkia Elizabeth wa Pili wa Uingereza, na mrithi wa kwanza katika ...
-
Mfanyabiashara raia wa Kenya, Raphael Ongangi anayedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay, Dar es Salaam nchini Tanzania am...
-
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko amefunga rasmi mafunzo ya sheria za usalama barabarani kwa maaskofu na wachungaji wa makanisa ya...
-
Vijana wametakiwa kuwa wazalendo katika nchi yao kwa kukemea vitendo viovu katika jamii na kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu. Aidha Sil...
-
Zikiwa zimesalia siku chache tu Hoteli Mpya ya Kisasa yenye Ubora wa hali ya juu 'SHY PARK HOTEL' ifunguliwe Rasmi mwezi Agosti 202...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
