Friday, July 27, 2018
“Wasanii Tupunguze Kiki Tufanye Kazi Zaidi”- Irene Paul
Muigizaji wa Bongo movie Irene Paul ameibuka na kuwashauri wasanii wenzake kuachana na kiki na kuanza kufanya kazi zao za sanaa kwa nguvu zaidi.
Wasanii wengi wamekuwa na mtindo wa kutengeneza skendo fulani (kiki) ziwe za kimapenzi au bifu lakini skendo zitakaziweza kuwaletea attention fulani kutoka Kwa vyombo vya habari au mitandao ya kijamii ili watakapotoa kazi zao zifanye vizuri.
Irene Paul amewataka wasanii wenzake kuacha kuzidisha sana kiki kama njia ya kutafuta attention kwani inakuwa inaharibu kazi zao kwani jitihada hivyo ya kiki wangeielekeza katika kutengeneza kazi Debye unitary basi mambo yangekuwa mazuri;
Nafikiri tumesha hustle sana Kwenye hii gemu kwa njia tofauti na umri haurudi nyuma bali unasogea so I think it's about time tufanye kazi zaidi kwani ndio kitu pekee kilichobaki.
Waliojiuza wamejiuza sana na waliokaa uchi wamekaa uchi sana na waliotengeneza skendo wametengeneza skendo za kutosha lakini wamepata nini out of it?.
Lakini pia Irene Paul amewataka Bongo movie wenzake waelekeze nguvu zao Kwenye kufanya kazi zaidi ili kuitudisha Bongo movie Kwenye ramani:
Umefika wakati tufanye kazi Bongo Movie Industry sio ya kipindi kile wakati inaanza kuna mapinduzi makubwa twende na wakati Tanzania tuna vipaji lakini tuna lack Knowledge na ubunifu kwaiyo cha muhimu kufanya kazi kwa bifu bidii ili kufika malengo".
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Bongo Deco wauzai wa vifaa mbalimbali vya umeme kama TV, Subwoofer, Hometheator, Majiko madogo na makubwa ya Gesi, Friji, Generator nk leo w...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii wa Jamhuri ya ...
-
Kuongezeka kwa ghasia za hivi majuzi kumesababisha idadi kubwa ya raia wa Lebanon kukimbia kutoka Beirut huku milipuko ikitikisa jiji hilo...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 15, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo – Busisi) ...