Coastal Union imemfuta kazi kocha Juma Mwambusi kutokana na mwenendo mbaya wa timu na kutoelewana na baadhi ya wachezaji
Aliondoka kambini jana usiku na amedumu kwa miezi 5 na nusu ndani ya timu hiyo
Kesho Jumatatu Coastal wataikabili Yanga pale KMC Complex