Kocha wa CR Belouizdad Saed Ramovic anaamini kuwa Ligi anayoitumikia kwasasa ya Algeria ina ubora aliokuwa anautaka tofauti na ushindani ambao alikuwa anaupata Tanzania.
"Hapa Algeria unacheza na wapinzani wagumu kila wiki na hichi ndicho nilikuwa nakihitaji kama Kocha.Tofauti na Tanzania ambapo kuna timu tatu tu zinazoshindania Ligi ambazo ni Yanga, Simba na Azam"
- Saed Ramovic, Kocha wa CR Belouzdad 🇩🇿.