Taarifa za ndani ya klabu ya Yanga SC zinaeleza kuwa endapo mchezaji yeyote atabainika kushiriki michezo ya Ndondo Cup huko mitaani basi adhabu yake ni kukatwa mshahara wake miezi 6 ya kimkataba...
Haya yamekuja baada ya kocha mpya wa klabu hio Ramovic Sead kuwa na misimamo mikali kuelekea mechi ya klabu bingwa Africa na NBC PL.