Wednesday, October 16, 2024

Serikali yaingiza bilioni 287 sekta ya madini

 Waziri wa Madini Anthony Mavunde  amesema serikali imefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 287 katika kipindi cha robo ya kwanza, ikivuka lengo la awali la makusanyo ya shilingi bilioni 247 katika  sekta ya madini. Akizungumza wakati wa mjadala wa mafanikio ya serikali...

The post Serikali yaingiza bilioni 287 sekta ya madini first appeared on JAMHURI MEDIA.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...