Wednesday, October 23, 2024

Pacome Ataibeba Yanga Sana Mashindano ya CAF.....

Pacome Ataibeba Yanga Sana Mashindano ya CAF.....

Yanga wanatamba na ushindi wa leo dhidi ya JKT,ila furaha yao kubwa ni kuona nyota wao Pacome amerudi kwenye score sheet baada ya kufunga tap-in safiiii kabisa.

Jana Pacome ameonekana kuwa na sharpness,confidence na rythm ya kufanya mambo yatokee.

Muda kama huu Yanga wanamuhitaji a fit Pacome ili kujiandaa kikamilifu na hatua ya makundi ya CAF.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...