Thursday, October 10, 2024

MIRADI YA KIMKAKATI KATIKA SEKTA YA UJENZI KUIFUNGUA BAGAMOYO KIUTALII -BASHUNGWA

 Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuweka msisitizo katika kufungua uchumi wa mji wa kitalii wa Bagamoyo kwa kuboresha miundombinu ya barabara, ikiwemo ujio wa mradi wa barabara ya mabasi ya mwendo kasi kutoka... Source

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...