Tanzania Daily Eye
Monday, December 20, 2021
Vita vya Ethiopia :Mji wa kihistoria wa Lalibela warejea mikononi mwa serikali
Lalibela, maarufu kwa makanisa yake ya mwamba ambayo yalianza karne ya 12 na 13, iliteuliwa kuwa kituo cha urithi wa ulimwengu cha UNESCO mnamo 1978.
Newer Post
Older Post
Home