Rais Farmajo atangaza tena kumsimamisha kazi Waziri Mkuu Roble
Rais wa Somalia anayemaliza muda wake Mohamed Abdullahi Farmajo anasema amemsimamisha kazi Waziri Mkuu wa Somalia Mohamed Hussein Roble, ambaye aliongoza mchakato wa uchaguzi, kufuatia madai ya "ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka."