Friday, December 3, 2021

Mahakama kumkamata aliyempa Sabaya mili 90?

Hakimu wa Mahakama ya Mkazi Jijini Arusha, Dkt. Patricia Kisinda anatarajiwa kutoa uamuzi mdogo kuhusu ombi la kukamatwa kwa shahidi namba 10 Evarist Mrosso Disemba 6. Dkt . Kisinda amesema hayo baada ya majibizano ya kisheria yaliyokuwepo mahakamani leo Disemba mbili ambapo Mawakili wa Jamhuri walikuwa wakipinga hoja zilizoibuliwa na utetezi ambapo mojawapo ikiwa ya …

The post Mahakama kumkamata aliyempa Sabaya mili 90? appeared first on Bongo5.com.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...