Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vinakamilisha taratibu za kumfungulia mashtaka Mkufunzi aliyethibitika kufungua mitihani, kuipiga picha na kuisambaza kwenye mitandao ya kijamii.
The post Aliyevujisha mitihani ya utabibu kufunguliwa mashtaka, Wizara yathibitisha appeared first on Bongo5.com.