Mpango wa nyuklia wa Iran: Fahamu kwanini tisho la shambulio la Israeli katika maeneo hayo laongezeka
Katika eneo la maji ya blu la bahari nyekundu nchini Israeli, Emirati na Bahraini vikosi vya wanamaji kwa mara ya kwanza baada ya siku chache tu zilizopita vilifanya mazoezi ya pamoja ya operesheni za usalama na meli ya kijeshi ya Marekani.