Tangu siku ya kwanza wanakutana ameonyesha ushirikiano na upendo mkubwa sana kwa @rayvanny hata namna walivyokuwa wakifunisha Kiswahili. Jambo hili limekuwa gumu sana kwa wasanii wakubwa kama @maluma kuonyesha upendo na ushirikiano kwa wasanii ambao hawana ukubwa kama wa kwao. @maluma unampa maksi ngapi kwa namna alivyoonyesha ushirikiano na @rayvanny ..?
The post Maluma aupiga mwingi kwa Rayvanny, aonyesha upendo na ushirikiano wa hali ya juu appeared first on Bongo5.com.