Saturday, July 24, 2021

Tanzia: Mwanamziki mkongwe Waziri Ally Njenje afariki dunia

 


Mwanamuziki maarufu wa Bendi ya Kilimanjaro (Njenje), Waziri Ally amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya Mwanayamala alikokuwa akipatiwa matibabu.

John Kitime mwimbaji mkongwe amethibitisha taarifa za kifo cha msanii huyo.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...