Wednesday, June 9, 2021

Wachezaji wa Taifa Stars wakiendelea na mazoezi

Wachezaji wa Taifa Stars wakiendelea na mazoezi ya jioni kwenye Uwanja wa JMK Park kujiandaa na mchezo wa Kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Malawi utakaochezwa Juni 13, 2021 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar Es Salaam.







 

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...