Wednesday, June 23, 2021

Picha : RAIS SAMIA AKISHIRIKI MKUTANO WA DHARURA WA SADC NCHINI MSUMBIJI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC unaofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Joaquim Chissano uliopo Maputo nchini Msumbiji leo tarehe 23 Juni, 2021.




Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...