Tuesday, June 8, 2021

Diva "Diamond ananilipa mshahara mara tatu ya mwanzo na amenipa gari mpya"




Mtangazaji mpya wa #WasafiFm @divatheebawse ameeleza kuwa kwenda Wasafi @diamondplatnumz amemlipa msharaha mara tatu na kupewa zawadi ya gari.

@divatheebawse hakuweka wazi analipwa mshahara wa kiasi gani lakini amesema kuwa @diamondplatnumz atakuwa anamlipa mara tatu ya mshahara wa mwanzo.

Akiongea wakati anakaribishwa @divatheebawse amesema kuwa amepewa gari ingawa hajasema gari ya aina gani.

@divatheebawse atakuwa anafanya kipindi cha #LaviDavi kupitia Wasafi amnacho kitahusu mambo ya mahusiano kama ilivyokuwa Cloudsfm.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...