Monday, June 21, 2021

4A9 KWA TIBA SAHIHI


Nafarijika kuona walio wengi wakiendelea kuona tija ya Ushaur wa TR. Msigwa ni vigumu kabisa aliyenileta vipimo hivi kuamini kama hakuna ufumbuzi pasipo shaka yoyote anaamini Pana ufumbuzi.


Ningependa kuendelea kutoa ushauri na ushauri una mambo mawili kukubaliwa au kukataliwa lakini kwa mwenye matatizo ya mistari miwili kukosa ataupokea ushauri wangu kwa mikono miwili, naomba sasa unufatilie vizuri kwa ushauri ninaokupa.


Chukua vitu vifuatavyo

  • Maaple matatu
  • Matango madogo Yale ya salad matatu
  • Bamia 
  • Mchicha
  • Fanya culture ya ulezi 
  • Fanya culture ya ngano
  • Limao moJa
Chukua rula moja pima mgomba unapoanza kuota usawa wa hiyo rula kata chini na juu toa maganda yote chukua moyo uliopo ndani ya mgomba.


Ukishapata vyote hivyo vikate Kate Weka maji kiasi lita nane changanya na 

  • Mdalasini robo
  • Habat soda ya chenga 

Chemsha mpaka yabaki kiasi Cha lita sita kisha chuja vizuri, maji uliyopata sagia vitu tajwa hapo juu  utapata juice nzuri Sana, kisha Weka kijiko Cha asali mbichi kunywa utashangaa namna gani mstari wako hautapanda tena juu.

Maelekezo haya dada zangu wote majibu yanakwenda vizuri kasoro dada yangu wa Tanga mafuta yamekuwa mengi kwenye damu yake inapelekea majibu yanakuwa sintofahamu.


Hii inasaidia unafanya damu kuwa imara na kufanya damu kukataa kuharibika au tuseme damu unakataa msongamano wa virusi.


Huo no ushauri wangu lakini nitoe wito kwa wale ambao hawajapata mafanikio haya natuma, njia pekee ni kuendelea kumshuhurisha msigwa kwa kumpa matokeo yako kila wakati, msigwa halali kwa kufikiria namna gani watu watapata mafanikio ya kutosha kwa muda mfupi.


Nirudie kusema tuna wasomi wengi Tanzania pasiposhaka yoyote ile lakini uvivu wa kufikiri kwa baadhi ya wasomi wamekuwa watu wa hiyana na chuki isiyokuwa na sababu yoyote ile hasa na wivu kwa kuona wao tangu wahitimu hawajaweza kwa kiasi kikubwa kuonesha matokeo ya tafiti zao zaidi ni kubaki kuendelea matokeo ya tafiti za wenzetu dunian.

Sibezi taaluma zao Ila nawasihi watanue wigo wa kufikiri kwa maslahi mapana ya taifa letu na Afrika nzima.


Mchanganyiko huu utamsadia Sana mtu mwenye

  • Kisukari 
  • Upungufu wa damu
  • Kizunguzungu
  • Ukosefu wa nguvu

Kwa mwenye kisukari, kansa na HIV nitafute nikuelekeze bure bila gharama namna gani uzalishe protin kwa wingi mwilin Ili damu na madini mengine yasipungue mwilini.


Nimalize kwa kumshukuru mungu  na kumpongeza dada huyu ambaye mumewe alimshauri vingine na yeye akaona T.R.Msigwa atanisaidia. 


Alikuwa na misitari 3 ambao mmoja umeondoka sasa tunapambana kuondoa na wa pili.

Nafarijika kuendelea kuwa na mimi kwa kipindi chote hichi na nitamlipa wema kwa kufanya mstari uondoke.


Ni watu wachache wenye uwezo wa kufikiri wenye ufinyu wanakwambia kipimo hiki sio hakika chenye hakika ni new gold ni mtazamo wao naamini ukishavuka kwenye daraja hili na linalokuja rahisi kulivuka sababu unalijua vizuri.


Piga simu 0713646691 / 0773149272

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...