Kupitia ukurasa wake wa instagramu Manara ameandika;
Malalamiko ya nn wakati hyo saa moja tutacheza wote? Hata cc hatukufurahia mabadiliko hayo ya ghafla , lakini hatuna budi kukubaliana na uamuzi wa Mamlaka !!
Simba ipo tayari kucheza hata usiku wa manane, as longer us TFF na Wizara wamesema, We are Ready,,,,Raha ya kiporo ukile usiku kabla kukuchwa 🤪🤪
Au kama vp suseni tu kama ilivyo ada yenu wazee wa kulalamika hovyo hovyo 😀😀