Tuesday, April 20, 2021

Yanga nao wana jambo lao leo

Klabu ya Yanga SC leo watakuwa na mkutano wa waandishi wa habari utakaofanyika saa 9:00 mchana makao makuu yaliyopo makutano ya mtaa wa Twiga na Jangwani Dar es Salaam.
 

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...