Sunday, March 21, 2021

Video : BHUDAGALA - TULEBHALYO....NGOMA YA HUZUNI SANA

Huu hapa wimbo wa Maombolezo wa Gwiji wa nyimbo za asili,Bhudagala Mwanamalonja inaitwa  Tulebhalyo. Hii ni miongoni mwa nyimbo sita alizoziachia April 1,2018. Imetengenezwa katika studio za Asili Yetu Africa ikiongozwa na Gooder / Mong


Tazama hapa  chini video hii ya huzuni


UPDATES ZOTE

Pakua / Download App ya Malunde 1 blog Tuwe tunakutumia taarifa zote moja kwa moja kwenye simu yako bure kabisa 

Bofya <<HAPA>> Mara Moja Tu


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...