Monday, March 1, 2021

Kundi jingine la nzige laingia Tanzania

 


Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Profesa Adolf Mkenda amesema wakati serikali ikipambana kuwaangamiza nzige wa jangwani  walioingia nchini Februari mwaka huu limeingia kundi jingine jipya likitokea nchi ya Kenya.


Profesa Mkenda ameyasema hayo leo, Machi mosi mwaka huu wakati akizungumza na vyombo vya habari mjini Moshi juu ya tathmini ya mwenendo wa kupambana na nzige hao.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...