Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amezitaka Hospitali zote nchini kutozuia maiti kwa madai ya kuwataka ndugu kulipia gharama za matibabu.
Dkt. Gwajima amesema hayo jana wakati alipotembelea Hospitali ya Mloganzila kuona hali ya huduma inayotolewa Hospitalini hapo pamoja na kuzungumza na Menejimenti.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE