VIDEO: Mo Dewji amaliza utata wa Chama kutua Yanga
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba Mohammed Dewji, amethibitisha kuwa mchezaji Clatous Chama, amesaini mkataba wa miaka miwili zaidi na klabu hiyo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE