Ikumbukwe kuwa, tangu Novemba 2, mwaka huu, Lissu alikuwa akiishi katika Ubalozi wa Ujerumani kwa madai kuwa hakuwa salama nyumbani kwake.
Akiwa katika Uwanja huo, Lissu amesema "Sikimbii mapambano, ila nakwenda uwanja mwingine mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu