Saturday, November 7, 2020

Jimbo la Georgia kurudia hesabu ya kura za urais


Waziri wa masuala ya kigeni katika jimbo la Georgia Brad Raffensberger ametangaza kwamba jimbo hilo litahesabu upya kura zake za urais.

Anasema kwamba kura 4169 hazijahesabiwa na kwamba kura 8000 za wanajeshi bado zimo katika barua na kwamba sitahesabiwa zitakapowasili mwisho wa siku.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...