Wednesday, November 11, 2020

Ditopile ala kiapo cha uaminifu, aahidi kuwatumikia wanawake



Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma CCM, Mariam Ditopile ni miongoni mwa wabunge waliokua kiapo cha uaminifu mbele ya Spika wa Bunge lakini poa akisisitiza kuwatumikia wananchi wa Mkoa wa Dodoma na hasa wanawake.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...