Wednesday, November 11, 2020

Chuo cha Ufundi Stadi Royal Vocational Training Institute kinatangaza nafasi za masomo


Chuo cha Ufundi Stadi Royal Vocational Training Institute Kilichopo Mbagala Jijini Dar es salaam kinatangaza nafasi za masomo kwa kozi ya Maabara Wasaidizi ngazi ya cheti (Certificate in Laboratory Assistants) Vigezo uwe umemaliza kidato Cha nne na kupata cheti. 


Chuo kimeidhinishwa kutoa mafunzo na Mamlaka ya Ufundi Stadi VETA.Tunatoa kozi ya miaka miwili na mitatu

Wahitimu husaidiwa kuunganishwa na sehemu za ajira mashuleni,vyuoni, viwandani au kuwezeshwa kuingia katika sekta binafsi na kamwe uwezi ukakosa ajira.


Kozi zinazotolewa na Royal Training Institute ni:-

  • Ordinary Diploma in Pharmaceutical Sciences(Kozi ya Ufamasia) miaka mitatu. Uwe na Alama D nne zikiwemo Kemia na Baiolojia.
  • Ordinary Diploma in Pharmaceutical Sciences (In Service) Mwaka 1-uwe umemaliza NTA Level 5
  •  Pia tunatoa kozi ya Manunuzi na Ugavi (Procurement & Supply) ngazi ya cheti na Diploma. Uwe na ufaulu wa D 4 katika masomo ya kidato Cha nne.


Kwa Maelezo zaidi wasiliana na Mkuu wa chuo kwa Simu no. 0688353310, 0713325507, 0769048098.

Au kwa barua pepe pharm_royal@yahoo.com, au tembelea tovuti yetu ya www.royalpharm.ac.tz


KUMBUKA KUNA PUNGUZO GHARAMA ZA HOSTELI KWA WALE WATAKAOWAHI.








Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...