Tuesday, October 20, 2020

VIDEO: Watakaopiga kura Oktoba 27 Zanzibar ni wafanyakazi-IGP Sirro

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewahimiza askari wa Jeshi hilo kutimiza wajibu wao kwa kuhakikisha wanatenda haki na kufuata taratibu zilizopo huku akiwataka wadau wote wa uchaguzi na wao kuhakikisha wanatimiza wajibu wao ipasavyo bila kuvunja sheria.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...