Friday, October 9, 2020

Picha : MAELFU WAJITOKEZA MAGUFULI AKIUNGURUMA DAR... DIAMOND PLATNUMZ, ALIKIBA,HARMONIZE WAKINUKISHA KINOMAA!!

Yanayoendelea Kujiri Kutoka Uwanja wa Mkapa Temeke, Jijini Dar es Salaam Kwenye Mkutano Mkubwa wa Kampeni za Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli. Wasanii mbalimbali wanaendelea kutumbuiza #KuraKwaMagufuli2020#T2020JPM 

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...