Friday, October 9, 2020

Habari Njema kwa Wakulima wa Pilipili

 

Kampuni ya Maki's Organic Farming inawakaribisha wakulima wote kujiunga katika mradi wa kilimo cha pilipili kichaa kwa njia ya kilimo mkataba, kwa maelezo zaidi juu ya upatikanaji wa mbegu na pembejeo mbalimbali za kilimo wasiliana na Mkurugezi Mtendaji wa Kampuni 0714421010.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...