Tuesday, May 19, 2020

Rufaa ya Man City kusikilizwa kati ya June 8-10 2020

Klabu  ya Man City itajua hatma ya rufaa yake kati ya June 8-10 2020 kutoka katika Mahakama ya kimichezo ya kimataifa (CAS), Man City wamefungiwa na UEFA miaka miwili kucheza michuano ya Ulaya baada ya kukiuka sheria za matumizi ya fedha (Financial Fair Play).
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...