Friday, May 22, 2020
Meneja Wa Ali Kiba Asafisha Hali Ya Hewa “Hakuna Beef Na Lady Jaydee”
Meneja wa msanii wa Bongo Fleva Ali kiba ameweka wazi kuwa hakuna ugomvi wowote baina ya msaani huyo na Lady Jaydee
Kauli ya meneja huyo inakuja kutokana na majibu ya Lady Jaydee alipoulizwa na shabiki mmoja kwenye mtandao wa twitter iwapo itafanya collabo na Ally Kiba
"Jay dee ni msaanii tunaye mheshimu ni dada na sidhani kama kuna ugomvi wowote baina yake yeye na Kiba maan tumeshirikiana mara nyingi kipindi akiwa Rockstar (label ya Ali kiba) labda kama kuna shida nyingine ila sisi hatuna shida" amesema Aidan Charlie alipoulizwa na clouds Tv
Ikumbukwe kuwa mara ya mwisho Ally Kiba kushirikiana ilikuwa mwaka 2012 walipotoa wimbo wa Single Boy wa Ali Kiba, Jay Dee alipoulizwa kama atafanya collabo na mkali huyo alisema hana mpango na afikirii leo wala kesho
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Mhamasishaji maarufu wa mitandaoni, Mwijaku, ameandika ujumbe unaotoa ushauri kwa Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Said Hersi, kupitia ukuras...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za ny...
-
Zaidi ya ghorofa 100 jijini Dar es Salaam zilibainika kujengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliy...
-
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali shauri lililokuwa limefunguliwa na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...