Wednesday, May 20, 2020
Calisah na Wema Sepetu Tena, "Hawezi Kunikataa"
Mwanamitindo Calisah amesema Wema Sepetu ni mmoja ya wapenzi wake ambao wanawasiliana sana na hata akitaka kwenda kwake hawezi kumkataza.
Akipiga stori na EATV & EA Radio Digital, Calisah amesema "Wema ndiyo mtu ninaye wasiliana naye sana, haipiti siku mbili kama hatujaongea na hapa kuna meseji zake sijui nikuonyeshe ila nitaonekana nam-snitch kwa sababu vitaleta miyayusho na siwezi kuonyesha kila kitu ila hatuna matatizo yoyote".
Aidha ameendelea kusema "Tupo na ukaribu ila sio wa mapenzi, sasa hivi ana wanaume zake anaendelea nao na mimi nina wanawake wangu, japo tunaonana na tunaongea hata nikitaka kwenda kwake na najua hawezi kunikataa".
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...
-
Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga Daktari Daniel Henry Na Isaac Masengwa ******************* Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga...
-
Rais Uhuru Kenyatta na viongozi wengine nchini Kenya wametuma salamu zao za rambi rambi kwa familia ya marehemu Yusuf Haji. Rais Uhuru Kenya...
-
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe asomewa mashtaka matatu ya uchochezi, yenye nia ya kuleta ch...
-
Mfanyabiashara raia wa Kenya, Raphael Ongangi anayedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay, Dar es Salaam nchini Tanzania am...
-
MWANA-mfalme wa Uingereza,. Prince Charles, ambaye ni mtoto wa kwanza wa Malkia Elizabeth wa Pili wa Uingereza, na mrithi wa kwanza katika ...
-
Vijana wametakiwa kuwa wazalendo katika nchi yao kwa kukemea vitendo viovu katika jamii na kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu. Aidha Sil...
-
Zikiwa zimesalia siku chache tu Hoteli Mpya ya Kisasa yenye Ubora wa hali ya juu 'SHY PARK HOTEL' ifunguliwe Rasmi mwezi Agosti 202...
-
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko amefunga rasmi mafunzo ya sheria za usalama barabarani kwa maaskofu na wachungaji wa makanisa ya...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
