Thursday, May 21, 2020

Awamu ya pili ya nyungu yazinduliwa na Waziri Jafo mbele ya Rais Magufuli

Waziri wa nchi , Ofisi ya Rais-TAMISEMI , Mh. Suleiman Jaffo akiongea mbele ya Rais Magufuli
amezindua rasmi awamu ya pili ya week ya Nyungu (kujifukiza), ambayo itaanza Tarehe. 21 mpaka 30 mwezi huu.

''Mh Rais tumezindua nyungu awamu ya pili inaanza Jumatatu na tutapiga nyungu kwelikweli ili kila mmoja ajikinge na amkinge mwenzake, Sisi TAMISEMI kama ni mpira basi ni viungo wachezeshaji, sisi tukifa Serikali nzima itaonekana haifanyi kazi, tuendelee kumsaidia sana Rais katika kazi hii".alisema Jafo
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...