Baada ya Ziwa Bassotu kujaa na kutema maji yake katika makazi ya watu na kuziba bara bara kuu ya Mogitu –Hydom mkoa wa Manyara,wakala wa bara bara (TANROAD) wamefungua bara bara nyingine ili wananchi waendelee kupata huduma.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBCRIBE