Tuesday, April 7, 2020
Kama Wewe ni Mwanaume Maskini, Ukioa Mwanamke Toka Familia Maskini Jiandae Kua Maskini zaidi
Nataka kuwakumbusha wale tunaotarajia kuoa, kuolewa.
Katika kufuatilia kwangu haya mambo, nimebaini umaskini unakua kama chain.
Kama mwanaume wewe ni maskini na bahati mbaya ukaoa mwanamke kutoka familia maskini simply ni kwamba umaskini wako unaongezeka.
Kwanini? Kwa sababu shida nyingi za ukweni zitakuhusu, akiumwa mdogo wake mkeo basi utaombwa hela, akifaulu shule ndugu wa mkeo utaombwa pesa, mkeo mwenyewe atajitahidi kukuibia ili kuweka kwao mambo sawa.
Maisha yako yanakua ni struggle mwanzo mwisho.
Kikubwa ni kupigana utafute hela kwa bidii maana unakua na familia tatu za kuhudumia.
1. Familia yako
2. Familia ya kwenu
3. Familia ya kwao mkeo (ukweni)
Habari nyingine ya kusikitisha ni pale unapokua mtumishi wa serikali alafu iwe ni hizi kada za chini kama vile ualimu, Nursing, mhandisi msaidizi, tabibu msaidizi, askari jeshi, polisi, magereza na taasisi zingine zinazofanana na hizo.
Kibaya kingine uwe ni mtu unayetegemea mwisho wa mwezi tu, yaani hauna channel nyingine ya kupata pesa.
Nakuhakikishia we utakua mtu wa madeni mengi kila siku ya Mungu.
Unafuu ni pale utakapooa mwanamke ambaye either ana kibarua au ukamuweka sehemu akajiajiri, kukuibia ataendelea kukuibia tu kama kwao hali ni ngumu, zingine utatoa kwa ridhaa lakini nyingi utaibiwa tu.
Kuoa mwanamke mwenye kibarua haiwi guarantee ya ku-win maisha ila kwa kiasi kidogo itakusaidia kuepuka madeni na kuishiwa pesa kutokana na kuhudumia familia tatu.
-
Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga Daktari Daniel Henry Na Isaac Masengwa ******************* Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...
-
Rais Uhuru Kenyatta na viongozi wengine nchini Kenya wametuma salamu zao za rambi rambi kwa familia ya marehemu Yusuf Haji. Rais Uhuru Kenya...
-
Kulia ni Mkurugenzi wa Stedom House of Beauty Bi. Stella Mhondo akigonga Cheers na wadau wa masuala ya Urembo na Vipodozi waliohudhuria uzin...
-
MWANA-mfalme wa Uingereza,. Prince Charles, ambaye ni mtoto wa kwanza wa Malkia Elizabeth wa Pili wa Uingereza, na mrithi wa kwanza katika ...
-
Mfanyabiashara raia wa Kenya, Raphael Ongangi anayedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay, Dar es Salaam nchini Tanzania am...
-
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko amefunga rasmi mafunzo ya sheria za usalama barabarani kwa maaskofu na wachungaji wa makanisa ya...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Vijana wametakiwa kuwa wazalendo katika nchi yao kwa kukemea vitendo viovu katika jamii na kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu. Aidha Sil...
-
Zikiwa zimesalia siku chache tu Hoteli Mpya ya Kisasa yenye Ubora wa hali ya juu 'SHY PARK HOTEL' ifunguliwe Rasmi mwezi Agosti 202...
