Tuesday, April 14, 2020

INSTALIVE: Nandy na Sho madjozi Wametuonjesha Ujio wa Ngoma yao Mpya


Ni Msanii kutokea Bongo Flevani, Nandy ambae ameunga na msanii kutokea Afrika Kusini aitwae Sho Madjozi kuwasikilizisha mashabiki zao ngoma yao waliyoifanya hivi karibuni, itazame hii video ujionee mwanzo mwisho wakizungumza kupitia Insta Live.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...