Sunday, April 12, 2020
Harmonize Bana...Aamua Kufuata Nyayo za Diamond Platnumz..Amuiga Kwa Kumtambulisha Mwanamuziki Wake Mpya
Harmonize_tz
"Jioni Ya Leo ...!!! Nafsi Inaniambia Mungu Anaetoa Na Kubariki Vipaji Ndie Mungu Anaegawa Upendo Katika Nyoyo Za Waja Wake Safii Na Nyeupe....!!! Binafsi Natambua Uchanga Wa Kampuni Inayonisimamia Pia Natambua Changamoto Tulizotoka Kupitia Punde..!!! Kifedha Naamini Kinachotufanya Mpaka Tuwe Hapa Leo Ni Dua Zenu Pamoja Na Upendo Ambao Nibaraka Toka Kwa Mungu Kama Unavyotambua Mambo Haya Ya Kusimamia Msanii Ama Wasanii Yanahitaji Uwekezaji Mkubwa Sana...!!! Richa Ya Kujinyima Kujichanga Changa Tunako Endelea Nako Lakini Haijawa Sababu Ya Kuruhusu Vipaji Ama Ndoto Za Kijana Yeyote Mwenye Kipaji Zipote...!!! shukrani Sana (UONGOZI) Kiukweli Kabisa Mlipaswa kufocus Zaidi Na Mimi ili Kuendelea Kufungua Milango Zaidi ..!!! Na kuendelea Kuitangaza #Bongoflavour Lakini Mkasema Hapana Mtajikamua Mtajinyima Na Kwa Mapenzi Ya Wanachi Basi Kijana Mwenzetu Atimize Ndoto Yake Ili Yeye Pamoja Na Familia Yake Ipate Walau Faraja Asanteni Sanaa Kwa nia Ya Dhati Kwa Msanii Mwenzangu Ambae Naamini Katika Kipaji Chake Ama Tunu Aliyopewa Na Mungu ...!!! Naweza Sema Bila Shaka Hata Ikitokea Siku Siimbi Muziki Teena..!!! Naamini @Ibraah_tz Nimtu Ambae Anaweza Fanya Kila Ninacho Fanya ..!! 100% Kwaheshima Kubwa Sina Budi Kuku karibisha Rasmi @Kondegang Brother .!!!@ibraah_tz Naamini Kwapamoja Tunaweza Kuwa Njia Ya Kuupeleka Muziki Wetu Another Level....!!!! Na Kesho Kuwafungulia Vijana Wenzetu Njia Waliopo Mtaani Watoto Wa Kimaskini Kama Sisi ...!!! Nikuombe tu Uamini Katika Wananchi Watakao kupokea Na Kukusikiliza Ndio Wanaweza Kubadirisha Maisha Yako Nakusisitiza Kuwapenda Na Kuwaheshimu ....!! π Pia Nikuombe Wewe Rafiki Unaesoma Ujumbe Huu Kumuandikia Neno (1) Tuu Ambalo Unahisi Litamfariji Kumtia Moya Na Ukawe Kati Ya Watu Wa Mwanzo Kabisa...!!! Walio Mtakia Heri Na Mafanikio Mema Katika Safari Yake Anayoianza Leo hiii Kijana Mwenzetu ..!! Ibraah_tz πPia unaweza Ku follow Handle Zake...!!! π Instagram: @ibraah_tz" Harmonize
-
Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga Daktari Daniel Henry Na Isaac Masengwa ******************* Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...
-
Rais Uhuru Kenyatta na viongozi wengine nchini Kenya wametuma salamu zao za rambi rambi kwa familia ya marehemu Yusuf Haji. Rais Uhuru Kenya...
-
Kulia ni Mkurugenzi wa Stedom House of Beauty Bi. Stella Mhondo akigonga Cheers na wadau wa masuala ya Urembo na Vipodozi waliohudhuria uzin...
-
MWANA-mfalme wa Uingereza,. Prince Charles, ambaye ni mtoto wa kwanza wa Malkia Elizabeth wa Pili wa Uingereza, na mrithi wa kwanza katika ...
-
Mfanyabiashara raia wa Kenya, Raphael Ongangi anayedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay, Dar es Salaam nchini Tanzania am...
-
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko amefunga rasmi mafunzo ya sheria za usalama barabarani kwa maaskofu na wachungaji wa makanisa ya...
-
Vijana wametakiwa kuwa wazalendo katika nchi yao kwa kukemea vitendo viovu katika jamii na kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu. Aidha Sil...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Zikiwa zimesalia siku chache tu Hoteli Mpya ya Kisasa yenye Ubora wa hali ya juu 'SHY PARK HOTEL' ifunguliwe Rasmi mwezi Agosti 202...
