Sunday, April 19, 2020
Diva "Nimelelewa na Bibi Sikuwa na Mama, Sijawahi Kuwa Malaya Never on Earth"
" Im a woman not just a woman , I'm a woman who went thru shit in my career, i have been very independent , sijawahi kuwa malaya never on earth .. nimejiheshimu sana , nimelelewa na bibi sikuwa na mama , nimejifunza kujilea mwenyewe with my dad help with boss ruge help with shebbah kussaga whoz like a mom to me i live alife atleast put a smile on my face and yes i agree @cloudsfmtz imenilea sana im so thankful
"Boss Ruge kufa ilikuwa pigo kwangu alikuwa my dad ali feel maumivu yangu and he taught me to be sasha fierce , somehow i become better ... Joseph Kussaga is My Dad , he is always taking care of me .. im forever thankful sina ata la kumlipa ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜, nime deal with alot kwa machungu na furaha sometimes unakuwa hewani unatukanwa matusi mazito na watu sababu tu baadhi ya watu wanawatuma but i always smile while on air mnahisi huwa siuumii? au sina moyo?!
"kila mtu anaumia, umaarufu ni mzigo ... too much pain , against all odds i have been working so hard to feed myself and live my life .. unlike others ilibidi ni stand bullies and alot more, kuwa bullied sucks , damages a mental health but nimeweza ku maintain sana sio rahisi at all ... inaumiza sana sana sana ðŸ˜ðŸ˜ ...
"if wewe ni mwanamke in the entertainment world i hope utaelewa this is not easy at all , y'all witness of the bullying , mnacheka na ku act up but y'all kno this hurts to the ribs ... i have been used, i agree i have been used and im such a fool , I'm going to open up alot today ... alot , nime deal na bullying my entire life i have all rights to defend myself as a woman siwez kukaa tu kukubali nionewe thats a hell no to me ...
"Ni haki Yangu Kabisa kama binadamu na kama mwanamke to stand for me, im not weak , i will never ever be weak or let someone belittle me , im gon stand up for myself no one ataeza stand up for me, wanawake wengi mmepitia this ..
"naandika hii Caption nikiwa na hasira nyingi tena nimejifungia chumbani nalia kwa nguvu sijali mtu anaenitukana or anything i don care but i have to say it all .. al rise up and speak out , im gon tel it all , and al speak out loud, you can't tel me don do this akati im the one goin thru pain, ni lazima niongee it hurts" DIVA
-
Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga Daktari Daniel Henry Na Isaac Masengwa ******************* Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...
-
Rais Uhuru Kenyatta na viongozi wengine nchini Kenya wametuma salamu zao za rambi rambi kwa familia ya marehemu Yusuf Haji. Rais Uhuru Kenya...
-
MWANA-mfalme wa Uingereza,. Prince Charles, ambaye ni mtoto wa kwanza wa Malkia Elizabeth wa Pili wa Uingereza, na mrithi wa kwanza katika ...
-
Mfanyabiashara raia wa Kenya, Raphael Ongangi anayedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay, Dar es Salaam nchini Tanzania am...
-
Zikiwa zimesalia siku chache tu Hoteli Mpya ya Kisasa yenye Ubora wa hali ya juu 'SHY PARK HOTEL' ifunguliwe Rasmi mwezi Agosti 202...
-
Vijana wametakiwa kuwa wazalendo katika nchi yao kwa kukemea vitendo viovu katika jamii na kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu. Aidha Sil...
-
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko amefunga rasmi mafunzo ya sheria za usalama barabarani kwa maaskofu na wachungaji wa makanisa ya...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe asomewa mashtaka matatu ya uchochezi, yenye nia ya kuleta ch...
